• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Ziara ya Mhe. Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji katika shule za Msingi na Sekondari Mkoa wa Mwanza 2018

10 January 2018

 

Malengo ya Ziara

  • Kuinua  kiwango cha ufaulu kwa shule za msingi na sekondari katika Mkoa.
  • Kutembelea kila Halmashauri za mkoa wa Mwanza siku 5 kila Halmashauri ili kutoa ushauri kuhusu mambo yote yanayohusu elimu.

Makundi ya  ziara

  • Mkuu wa mkoa
  • KatibuTawala wa mkoa
  • Wakuu wa Wilaya
  • Wakurugenzi wa Halmashauri
  • Maafisa elimu
  • Wadhibiti  ubora wa  elimu
  • Makatibu  wa  walimu TSC
  • MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA ZIARA (HADIDU ZA REJEA)
  • Kuangalia  mahudhurio ya  walimu  na  wanafunzi  kwa  kuzingatia  ikama.
  • Daftari la mahudhurio  ya  walimu  na  wanafunzi
  • Daftari la usajili  wa  wanafunzi
  • Shajala
  • Uandikishaji  wa  wanafunzi  wa  darasa la kwanza na awali 2018.
  • Uwepo  wa ratiba  ya  masomo  na  utekelezaji wake
  • Chati ya ufundishaji wa masomo kwa wiki
  • Ukamilishaji wa mada kwa wakati.
  • Uandaaji wa maazimio, maandalio, nukuu za somo na ukamilishaji wake.
  • Matumizi ya vifaa vya kufundishia na  kujifunzia.
  • Zana za  kufundishia/kujifunzia  kulingana  na  mazingira
  • Vitabu
  • Vifaa  vya  maabara.
  • Kuainisha  wanafunzi  wasiojua KKK na  mikakati  ya  utatuzi  wa  tatizo la wasiojua KKK.
  • Uwepo  wa  elimu  ya  Awali  kwa  kila  shule, Elimu  Jumuishi  na  Elimu  ya  watuWazima  na  Elimu  nje  ya Mfumo  Rasmi.
  • Mgawanyo  wa  majukumu  shuleni  na  utekelezaji wake.
  • Miundombinu
  • Vyumba  vya  madarasa
  • Matundu  ya  vyoo
  • Maabara
  • Ofisi  za  walimu/mwalimu  Mkuu
  • Nyumba  za  walimu
  • Mabweni
  • Maktaba
  • Taarifa  ya   mapato  na  matumizi  ya  fedha  za  ruzuku
  • Uwazi  na  ushirikishwaji
  • Cash book
  • Store ledger
  • Tatizo la mimba shuleni
  • Kubaini Taasisi  zinazochangia  maendeleo  ya  elimu
  • Michezo   shuleni
  • Wimbo  wataifa
  • Wimbo  wa  uzarendo
  • Bendera  yaTaifa
  • Mazoezi ya viungo/mchakamchaka
  • Mitihani  shuleni
  • Ufanyikaji wa  mitihani  shuleni
  • Benki  za  maswali
  • Utoaji  wa  matokeo  na  ufanyikaji  wa  tathimini  ikiwa  ni  pamoja  na  kuainisha  changamoto  za  mitihani  na  njia  za  kutatua
  • Motisha  kwa  walimu  na  wanafunzi.
  • Uwepo  wa  kadi  za  maendeleo  shuleni (Cummulative card)
  • Utekelezaji wa kikao cha wadau  waelimu
  • Kikao cha tathmini
  • Maoni na  mapendekezo
  • Ushirikishwaji  wa  jamii  katika  kuchangia  elimu


Ratiba ya Ziara: 

Ziara  itaanza  kuanzia  tarehe 15 Januari, 2018 kama  inavyoonekana  hapa  chini  kwenye   ratiba

Na
Tarehe
Halmashauri
1
Januari
Ukerewe
2
Februari
Magu na Kwimba
3
Machi
Mwanza Jiji, Ilemela na Misungwi
4
Aprili
Buchosa na Sengerema

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MTANDA AAGIZA USIMAMIZI THABITI WA VITUO VYA AFYA KUONGEZA MAPATO

    June 30, 2025
  • RC MTANDA AYASHUKURU MAKUNDI MBALIMBALI USHIRIKI ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA

    June 30, 2025
  • RC MTANDA ATOA SOMO LA UONGOZI KWA DC MPYA MAGU

    June 30, 2025
  • KAMA TUNAHITAJI KUSONGA MBELE NI LAZIMA KUJIUNGA NA USHIRIKA – RAS BALANDYA

    June 24, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.