TANGAZO
MHE. MKUU WA MKOA ATAONANA NA KUWASIKILIZA WANANCHI WENYE SHIDA/ MATATIZO MBALIMBALI SIKU YA JUMANNE TU KUANZIA SAA 2:30 ASUBUHI HADI SAA 9:30 ALASIRI, LABDA KAMA SIKU HIYO ITAJITOKEZA DHARURA ILIYO NJE YA UWEZO.
INASHAURIWA KUPITIA NGAZI ZA KATA,TARAFA NA WILAYA KABLA YA SHIDA/MATATIZO KUFIKISHWA KWA MHE.MKUU WA MKOA.
UTAWALA
Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA
S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.