• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Misungwi watakiwa kuongeza nguvu, kasi,ubunifu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya

Posted on: June 29th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi atakiwa kuongeza nguvu, kukamilisha na kufanya vitu vya tofauti katika mradi wa ujenzi wa hospital ya Wilaya hiyo ulioanza June mwaka huu.

Akizungumza wakati alipofanya ziara ya kutembelea  mradi huo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella alisema kazi ni zuri lakini waongeze nguvu kwani fedha hizo za Force Account zinatumika ndani ya siku 90 na ujenzi uwe umekamilika .

" Huko nyuma yalifanyika mauzauza na wengine tulishiriki Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi tufikiri tofauti kuongeza kasi na kufanya vitu vya tofauti ili kuwatofautisha na wengine ambavyo vitakuwa kumbukumbu ata mtu akiona anasema fulani alifanya hiki chamsingi tuwe waadilifu na tupige kazi na kukaza buti na tufanye vitu vya tofauti " alieleza Mongella.

Pia aliwaomba wananchi kuendelea kuvilinda vifaa vinavyotumika katika ujenzi sambamba na kufanyia kazi huku akisiaitiza fedha hizo za ujenzi zimetolewa na Mhe.Rais Magufuli.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Mganga mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Zabron Masatu anasema fedha iliyopokelewa katika awamu ya kwanza Million 500 (500,000,000) imeelekezwa kujenga majengo matatu ambayo ni jengo la OPD, jengo la maabara na kichomea taka.

 "Hospital hii ikikamilika  itahudumia wananchi wa eneo hili wapatao 462,855 ,pia uongozi wa Wilaya kwa niaba ya wananchi tunatoa shukrani nyingi kwa serikali hii inayoongozwa na Raise wetu Mhe Dkt. John Magufuli kwa kuwezesha ujenzi wa  kihistoria wa hospitali ya wilaya,tunamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana nasi katika kuleta maendeleo ya jamii kuelekea uchumi wa kati." anasema Masatu.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA MWANZA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2018 Shule za Sekondari za Serikali Mkoa wa Mwanza December 13, 2017
  • Ziara ya Mhe. Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji katika shule za Msingi na Sekondari Mkoa wa Mwanza 2018 January 10, 2018
  • Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA Kitaifa Mkoa wa Mwanza. June 07, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AGA KHAN Yatoa Vifaa vya Bilioni 1.5 Kuepusha vifo vya mama na mtoto Mwanza

    December 22, 2020
  • Kikao cha bodi ya Barbara chapanga mikakati ya mafanikio Mwanza

    December 21, 2020
  • Mwanza Kwanza Toleo la pili kwa habari mbalimbali Mkoa wa Mwanza

    December 12, 2020
  • Elimu ya maadili yatolewa Mwanza kwa Viongozi

    December 10, 2020
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akifungua Baraza la biashara katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mkikutano uliopo katika ofisi ya Mkoa uliojumuisha wajumbe mbalimbali wa Baraza hilo wa Mkoa wa Mwanza.
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA

    S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.