Posted on: October 29th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana akishiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani akiwa katika Kituo cha Chuo cha Benki Kuu Capripoint Jijini Mwanza leo tarehe 29 ...
Posted on: October 29th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda mapema leo Oktoba 29, 2025 asubuhi amepiga kura katika kituo cha Isamilo Kaskazini B genge la Washashi na kuwaongoza wananchi wa mkoa huo kutimiza haki yao ya k...
Posted on: October 27th, 2025
Leo Oktoba 27, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amefanya mahojiano maalumu na kituo cha televisheni Clouds ambapo amezungumza mambo mbalimbali yahusuyo Mkoa wa Mwanza.
Katika Mahoji...