• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Serikali Yaagiza swala la lishe lipewe kipaumbele

Posted on: October 10th, 2018


Kamati ya lishe Mkoa wa Mwanza imefanya kikao chake cha robo ya kwanza ya mwaka 2018/2019 pamoja na kikao cha tatu cha kamati tendaji ya 'program ya right start initiative' kilichofanyika katika ukumbi wa Mipa Hoteli Jijini Mwanza.

Kikao hicho kimejadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za lishe katika ngazi ya Mkoa na Halmashauri robo ya nne 2018/19 pamoja na taarifa ya utekelezaji wa shughuli za lishe katika sekta mbalibali ikiwa ni pamoja na sekta ya kilimo na wadau wa lishe kama vile Amref Health Africa.

Akiongea katika kikao hicho Mwenyekiti wa Kikao ambaye ni  Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bwana Christopher Kadio amesema Makamu wa Rais amekuwa akifatilia kwa ukaribu swala la  Lishe na kuomba taarifa za mara kwa mara.

"Maagizo ya Serikali tulipe uzito swala la lishe,hivyo baada ya miezi 3 Halmashauri zote ambazo hazina vitengo vya lishe zihakikishe zinaanzisha,"alisema Kadio.

Aidha,Kadio ameongeza kuwa  hata katika kikao vya menejimenti kuwe na agenda ya lishe kwani kwa kufanya hivyo swala la kuondoa utapiamulo litapewa uzito ikiwa ni pamoja na kutenga bajeti ya kutoa huduma katika vituo mbalimbali.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO KUTWA NA BWENI CHA KWANZA MWANZA 2019 December 17, 2018
  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. June 06, 2018
  • Tangazo kuhusu uhamisho wa ndani na nje ya Mkoa wa Mwanza. June 07, 2018
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2018 Shule za Sekondari za Serikali Mkoa wa Mwanza December 13, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Tumekuja kujifunza kujionea hali halisiya kiuchumi,kisiasa na kijamii iliyoko Mikoani na Wilayani

    January 14, 2019
  • CCM kuadhimisha miaka Ishirini ya kifo cha Mwalimu kwa kutangaza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na serikali ya awamu ya Tano chini ya Dkt Magufuli

    January 08, 2019
  • Upimaji wa Virusi vya UKIMWI waongezeka Mwanza

    December 01, 2018
  • Mwanza wafaidika na vifaa vya uokoaji wakati wa majanga

    November 27, 2018
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Wateja wa TIGO kanda ya ziwa watakiwa kufanya malipo kwa kutumia Mfumo wa kielektoniki wa Malipo Serikalini (GePG
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA

    S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.