Posted on: November 27th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana ameupongeza na kuushukuru uongozi wa benki ya stanbic kwa kuchangia vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 19 ambavyo vitaenda kuwa na...
Posted on: November 26th, 2025
“Kwa mujibu wa ripoti ya benki ya dunia ya mwaka 2018 imeainishwa kuwa, tusipochukua hatua stahiki, ifikapo mwaka 2050 watu zaidi ya milioni 10 watafariki dunia kila mwaka kutokana na magonjwa yatokan...
Posted on: November 18th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo tarehe 18 Novemba 2025 ameupokea ugeni kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Unaoshughulikia Maafa waliofika Mkoani humo kuangalia utayari wa kuanzishwa kwa kamati za...