Ukaribisho


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza , inayo furaha kukukaribisha katika tovuti hii. Tunatumaini utapata taarifa za kuaminika unazozihitaji kwa ukamilifu kuhusu wigo, upeo wa taasisi, dira, dhamira, malengo, mikakati, shughuli kuu, ahadi na utekelezaji wa shughuli za Serikali. Ujio wa tovuti hii ni tukio la kihistoria katika kufikia dira na matarajio yetu hasa kutangaza shughuli za Serikali lakini pia na huduma zetu kwa umma. Kupitia tovuti hii tunaamini kwamba itakuwa rahisi kwa wananchi kupa soma zaidi

Habari Mpya

soma zaidi