TANGAZO
MHE. MKUU WA MKOA ATAONANA NA KUWASIKILIZA WANANCHI WENYE SHIDA/ MATATIZO MBALIMBALI SIKU YA JUMANNE TU KUANZIA SAA 3:00 ASUBUHI HADI SAA 9:30 ALASIRI, LABDA KAMA SIKU HIYO ITAJITOKEZA DHARURA ILIYO NJE YA UWEZO.
INASHAURIWA KUPITIA NGAZI ZA KATA,TARAFA NA WILAYA KABLA YA SHIDA/MATATIZO KUFIKISHWA KWA MHE.MKUU WA MKOA.
UTAWALA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.