Saturday 21st, December 2024
@Viwanja vya sabasaba
Ni sikukuu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa chama cha TANU 7.7.1954.Siku ambayo watanzania huwa katika mapumziko ya kazi na kwenda kuona au kununua bidhaa zinazopatikana nchini kwa kuwa hapo biashara nyingi huenda katika maonyesho mbalimbali, ni siku muhimu kwa wafanyabiashara kwani watu wengi huenda huko na kujionea vitu vipya vilivyoletwa na elimu kuhusu bidhaaa mbalimbali hutolewa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.