Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Takwimu kina lengo la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano na Takwimu sahihi kwa Sekretarieti ya Mkoa, Aidha Kitengo hiki kinaongozwa na Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta Mkuu ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Mawasiliano kwa wataalamu wa TEHAMA Mkoa:
George S. Leonard |
Joseph D. Chali |
Maige J. Magoti |
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.