• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Jamii yahamasishwa kutunza miundombinu ya shule

Posted on: May 14th, 2021

Waziri wa Mambo ya Ndani,  George  Simbachawene, amelitaka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini, kuwachukulia hatua wanafunzi wanaohujumu miundombinu ya shule kwa kuichoma moto.

Simbachawene alitoa amri hiyo jijini Mwanza,  alipofanya ziara ya kikazi yenye lengo la kuimarisha utendaji kazi wa jeshi hilo pamoja na ushiriki wa wananchi katika kujua namna ya kujikinga na majanga ya moto.

Alisema mkoa huo una shida hususani katika masuala ya hujuma kwa kuwa matukio ya moto ni mengi hadi kufikia 93  jambo ambalo siyo sahihi ni lazima kuongezwe juhudi za kuhakikisha yanapungua.

"Matukio ya moto kwenye shule ni utundu wa vijana wanaanza kuhujumu miundombinu kwa sasa na wanafunzi watakaobainika kufanya uhalibifu wowote mkubwa wenye madhara katika shule wachukuliwe hatua,"  alisema Simbachawene

Aidha,  Simbachawene aliwaagiza wakuu wote wa zimamoto nchini  kuwaandikia barua ya kuwakumbusha wakurugenzi wa halmashauri na majiji  ambao hawajanunua magari ya zima moto kuyanunua.

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mkoa wa Mwanza,, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoani humo,  Ambwene Mwakibete, alisema matukio ya moto na uokoaji kuanzia Julai 2020  hadi April 2021  yalifikia 93.

Aidha,  alifafanua kwamba matukio ya moto ni 83 na ya uokoaji 10, vifo 13  na majeruhi 10 na wamefanya uchunguzi wa matukio  10.

Mwakibete alisema katika uchunguzi walibaini vyanzo vya matukio hayo ya moto ni  umeme, hujuma na uzembe na kwamba kwa kushirikiana na vyoimbo vingine vya usalama wanaendelea kutoa elimu.

"Tunakabiliwa na changamoto ya visima vya maji ya kuzimia moto, maana mkoa una jumla ya visima 225  na kwamba  66 vinafanya kazi na 159 ni vibovu.


Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.