• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAUDHIBITI MOTO ULIOIBUKA JIJINI MWANZA

Posted on: October 30th, 2023

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAUDHIBITI MOTO ULIOIBUKA JIJINI MWANZA


Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoani Mwanza limefanikiwa kudhibiti moto uliozuka kwenye sehemu ya juu ya jengo la ghorofa moja la biashara  lililoko mtaa wa Karuta Jijini Mwanza.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza baada ya kufika kwenye eneo  la tukio hilo, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina Makilagi ameviagiza  vyombo vinavyohusika na majanga na uokozi Mkoa huo  kuchunguza na kubaini chanzo cha moto huo mara moja ili hatua zaidi zichukuliwe.

Mhe Makilagi ametoa rai kwa wafanyabiashara mkoani humo  kuhakikisha wanasajiri biashara zao kwenye Bima ili kuwa na usalama wa mali zao panapotokea majanga kama hayo.

Aidha, amelitaka jeshi la zimamoto kutoa elimu kwa wananchi ili waweze kubaini kwa namna gani wanaweza kujilinda na majanga ya moto pindi  yanapotokea.

Naye, Mkuu wa jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza Willbroad Mutafungwa amesema jeshi hilo lilifika kwenye eneo la tukio na kuhakikisha usalama wa mali za wafanyabiashara katika eneo hilo.

Halikadhalika, Kaimu Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Mkoani humo Kamila Labani amesema wamefanikiwa kuuzima moto huo ili usilete madhara katika majengo mengine yaliyokuwa karibu na jengo  hilo huku  wakiendelea kuchunguza chanzo cha kuzuka kwa moto huo.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.