• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

KAMATI YA BUNGE YA USTAWI NA MAENDELEO YA JAMII IPO MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI

Posted on: May 25th, 2024

KAMATI YA BUNGE YA USTAWI NA MAENDELEO YA JAMII IPO MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii leo Mei 25, 2024 imeanza ziara ya kikazi Mkoani Mwanza huku ikitarajiwa kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ndani ya mkoa huo hususani iliyo kwenye Sekta ya Ustawi na Maendeleo ya jamii.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Fatma Toufiq amesema wapo Mkoani Mwanza kwa ziara ya siku moja ya kufuatilia utekelezaji wa Sera na mikakati ya utekelezaji wa miradi ya kijamii hususani  wa Rock City Mall unaotekelezwa na  Mfuko wa Jamii (PSSSF)

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema  kwa mwaka 2024 Mwanza imeandaa zaidi ya Bilioni 8 kwa ajili ya kuwakopesha vikundi 529 vya Vijana, wanawake na wenye ulemavu ambavyo vimeshaandaliwa na Halmashauri na kwamba kinachosubiriwa ni utaratibu rasmi wa Serikali wa kukopesha.

"Mkoa wa Mwanza tunawatambua wafanyabiashara na tunaendelea  kuwatengenezea mazingira bora ya kufanyia kazi kwa kushirikiana na wadau na taasisi zingine katika kuzipa ubora, hati miliki ili kuwapa uhakika wa soko wazalishaji" , amesema Mkuu wa Mkoa.

Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi ametumia wasaa huo kutoa rai kwa Mkoa kuhakikisha wanaliangalia vema kundi la vijana linalojishughulisha na Ufugaji na Uvuvi kwani ndio uchumi wa watu wa Mwanza.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.