• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Mhandisi Gabriel ahamasisha wawekezaji kuja Mwanza

Posted on: September 14th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mhe.Mhandisi Robert Gabriel, amewataka watendaji Mkoani humo kuepukana na vitendo vya rushwa pamoja na kuondoa urasimu ili kuwawezesha wawekezaji kufanya shughuli zao bila tatizo.

Akizungumza katika kikao cha Baraza la Biashara kilichofanyika  mkoani humo, Mhe.Mhandisi Gabriel amesema  wanaohitaji kuwekeza katika maeneo mbalimbali.


“Wakati mwingine mwekezaji anakuja anakutana na changamoto nyingi, naomba sana watendaji tuwapunguzie mzigo hawa wawekezaji,” alisema Mhe.Mhandisi Gabriel.

Mhe.Mhandisi Gabriel amewahakikishia wafanyabiashara wa Mkoa wa Mwanza kuwa ofisi yake itatumia nguvu zote kuhakikisha wanafanikiwa pamoja na usalama wao na mali zao na kuondoa vikwazo vyote vya rushwa.


“Ukiona unazungushwa ni dalili za rushwa na rushwa haitakuwa na mlango katika mkoa huu kwa mwekezaji yeyote,” alisema Mhandisi Gabriel.

Aidha, amesema wanatakiwa kutumia miundombinu kusafirisha malighafi kutoka mkoani humo kwenda sehemu nyingine kwa lengo la kuleta mapinduzi ya kibiashara.

"Hizi barabara siyo  za kubeba watu pekee, tunahitaji ndege za mizigo zitue na kesho tujue katika reli ya kisasa ni tani ngapi zitawekwa zipelekwe maeneo mengine,” aliongeza.

Ameongeza kuwa  ili uchumi uwe vizuri wanahitaji shehena za mizigo ambazo zinatoka Mwanza kwenda kwenye masoko mengine.

Mhe. Gabriel amemtaka kila mmoja kutumia kanuni, sheria na taratibu kuhakikisha anawajibika kuweka mazingira wezeshi ya kibiashara.

Naye Dkt. Elibariki Mmari  ameziomba  halmashauri zote kukaa pamoja na wafanyabaishara ili kupanga tozo ya (service levy).





Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.