Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina Makilagi leo Agosti 25, 2025 amepokea Mwenge wa Uhuru ukitokea wilayani Ukerewe ambapo amesema utakimbizwa katika miradi 8 yenye thamani ya zaidi ya Tshs. Bilioni 50.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.