• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Mwenge wa Uhuru wapokelewa kwa kishindo Mwanza

Posted on: August 26th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa mwanza Mhe.John Mongella amepokea mwenge wa  uhuru leo tarehe  26/08/2018 katika kijiji cha Izizimba " A " kilichopo Wilaya ya Kwimba ukitokea Mkoa wa Shinyanga baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga  Mhe.Zainab  R. Telack.

Akitoa salamu za Mwenge  wa  Uhuru katika kijiji cha Izizimba "A" Mhe. Mongella amesema Mkoa unaendelea kupambana na ugonjwa hatari wa Ukimwi chini ya kauli mbiu " Wananchi jitambue:pima afya yako sasa ," kwani maambukizi mapya yameongezeka kutoka asilimia 4.2 kwa mwaka 2014/2015 hadi kufikia asilimia 7.2 kwa mwaka 2017/2018.

"Juhudi zitafanyika kupunguza maambukizi mapya na kutoa tiba sahihi za magonjwa ya ngono na Tohara inayofanyika na wanaume ili kuwakinga wasiweze kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi,"alisema Mongella.

Mwenge wa uhuru utakimbizwa jumla ya kilometa 831.3 na   utafungua jumla ya miradi 56  katika halmashauri 8 ambayo  imegharimu kiasi cha zaidi ya bilioni 13.7 katika miradi ya halmashauri yaKwimba,Magu,Misungwi,Sengerema,Ukerewe ,Buchosa,Halmashauri ya jiji,na  manispaa ya Ilemela  huku miradi hiyo ikiwa imechangiwa na serikali kuu, halmashauri,wananchi pamoja na wahisani mbalimbali.

Ikumbukwe kuwa uzinduzi  wa mbio za mwenge wa uhuru ulifanyika  Kitaifa Mkoani Geita tarehe 2 Aprili2018 na utahitimisha mbio zake tarehe 14.10.2018 Mkoani Tanga ambayo ni siku ya kumbukumbu ya baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Aidha kauli mbiu ya mwenge wa uhuru mwaka 2018 ni  Elimu ni Ufunguo wa Maisha wekeza sasa kwa Maendeleo ya Taifa letu."

Hata hivyo Mwenge wa Uhuru 2018 umebeba ujumbe wa kudumu wa mapambano dhidi ya rushwa,mapambano dhidi ya madawa ya kulevya

na  Ukimwi.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.