• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

NGOs Zilizopata Usajili wa Brela,RITA zatakiwa kuhakikiwa

Posted on: August 7th, 2019


Mashirika yasiyo ya Serikali (NGOS) na asasi za kiraia zilizopata usajili kutoka Wakala wa Usajili wa Leseni na Biashara (BRELA) na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) yameanza kusajiliwa upya.

Mashirika hayo hivi sasa yatasajiliwa chini ya msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali iliyopo  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto ambapo tayari usajili huo unaanza leo mkoani Mwanza hadi Agosti 13, mwaka huu.


Akizungumuza na waandishi wa habari jijini Mwanza,  Msemaji wa wizara hiyo ,Idara ya Maendeleo, Erasto Ching’oro alisema zoezi hilo linafanyika  kulingana  na sheria ya mashirika yasiyo ya Serikali.

“Usajili huu unafanyika kutekeleza matakwa ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) iliyofanyiwa mabadiliko yanayolazimu mashirika ya kijamii ambayo awali yalisajiliwa chini  ya sheria nyingine kama Brela na Rita na sheria ya asasi za kijamii kujisajili upya katika ofisi ya msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali iliyopo wizara ya Afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto.

“Pia usajili huu unahusisha mashirika mapya ambayo kwa mara ya kwanza yanaomba kusajiliwa lakini nitoe angalizo kuwa waliosajiliwa chini ya sheria ya NGOs namba 24/2002 na wale waliopewa cheti cha certificate of compliance kwa sasa zoezi hili haliwahusu ila  wao watapewa maelekezo baadaye.

“Huduma ya usajili itafanyika bure kabisa hivyo niwaombe wote ambao zoezi hili linawahusu kuzingatia muda na kuachana na dhana iliyozoeleka ya wananchi wengi kusubiri siku za mwisho ndipo wanafurika japo tutaongeza muda kama tutalazimika kufanya hivyo,”alisema Ching’oro.

Ching’oro alisema jamiii inapaswa kufahamu kuwa mbali na kutekeleza matakwa ya mabadiliko ya kisheria lakini pia zoezi hilo limelenga kuimarisha utawala bora, uwazi, uwajibikaji wa mashirika, kuimarisha utaratibu katika ngazi zote, kutambua mchango wa NGOs pamoja na kuhakikisha kuwa utaratibu  unakuwa na maslahi mapana ya kitaifa.




Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.