• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RAS Balandya awataka Makatibu Muhtasi na Watunza kumbukumbu kuyatumia vyema mafunzo waliyopata Zanzibar.

Posted on: June 9th, 2023

*RAS Balandya awataka Makatibu Muhtasi na Watunza kumbukumbu kuyatumia vyema mafunzo waliyopata Zanzibar.*


Makatibu Muhtasi na Wasaidizi wa kumbu kumbu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza waliopata fursa ya kuhudhuria kongamano la mafunzo  lililofanyika kisiwani Zanzibar kuanzia Mei 23, 2023 hadi Mei 27, 2023 Wameishukuru Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa  kuwapatia fursa ya kuhudhuria kongamano hilo wote kwa pamoja.

Shukran hizo wamezitoa leo kwa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndg Balandya Elikana kwa kuwapa nafasi hiyo kwa pamoja na kuahidi kuyatumia vizuri mafunzo hayo ili kuongeza tija katika kazi zao za kila siku.

"Ofisi ya Mkuu wa Mkoa itaendelea kuwapa nafasi hizo kila mwaka kwani unatambua umuhimu wake na nawasihi kuendelea kuchapa kazi kwa bidii mkizingatia miongozo yenu",amesisitiza Balandya

Aidha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndg Daniel Machunda amewashukuru watumishi hao kupata mafunzo hayo na kuwaahidi Ofisi yake kuwapa ushirikiano ili majukumu yao ya kazi wayafanye kwa kuzingatia Weledi.

"Kongamano lenu linafanyika kila mwaka,mwakani bajeti ikiruhusu tutahakikisha mnahudhuria kwa wingi ili muongezewe ujuzi zaidi katika kazi zenu",Machunda

Jumla ya watumishi 11 kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wamehudhuria kongamano hilo la mafunzo kisiwani Zanzibar

Kongamano la Mafunzo la TAPSEA mwakani litafanyika Mkoani Mwanza kuanzia  Mei kabla ya mwaka 2025 kufanyika kisiwani Pemba.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.