• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RAS Mwanza ataka mkazo wa elimu kutokana na athari za matumizi ya Tumbaku

Posted on: May 31st, 2022

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike ameishauri Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba,TMDA kuongeza elimu zaidi kwa jamii kuhusiana na athari za matumizi ya bidhaa zitokanazo na Tumbaku.


Katibu Tawala wa Mkoa Ngusa akifungua kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa shughuli za udhibiti wa bidhaa za Tumbaku Mkoani Mwanza, amesema bado Jamii inahitaji zaidi elimu hasa kutokana na vifo vinavyosababishwa na matumizi ya Tumbaku.


"Tunashuhudia madhara yatokanayo na uvutaji Sigara ni pamoja na  Saratani ya Mapafu  na afya ya kinywa pia inaathirika muweke utaratibu wa kuwafikia Jamii itasaidia kupunguza athari hizi"


Amesema kwa mujibu wa Takwimu watu Milioni 8 hufariki kila mwaka kutokana na matumizi ya bidhaa za Tumbaku,hii maana yake nguvu kazi ya Taifa inazidi kupungua ni wajibu tupambane kwa pamoja kuepukana na hali hii.


Meneja wa TMDA Kanda ya Ziwa Mashariki,Sophia Mziray amesema Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba inaendelea kuwakutanisha Wadau ili kukabiliana na madhara yatokanayo na matumizi ya Tumbaku.


Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Nelson Kamuhanda amebainisha bado kunahitajika elimu ya kutosha kutokana  na athari za matumizi ya Tumbaku kumpata pia asiyetumia endapo atakutana na moshi wake.


Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba imekutana na Watendaji Kata pamoja na Wenyeviti wa Mitaa kutoka Wilaya za Nyamagana na Ilemela ikiwa leo ni Siku ya kutovuta Sigara Duniani ikitumia siku hii kuelimishana na kuona maeneo ya kuongeza juhudi ili Jamii iwe salama na athari ya matumizi ya Tumbaku.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.