• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RC Malima ahimiza ubora maonesho ya Biashara Afrika Mashariki

Posted on: August 30th, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe Adam Malima amewataka washiriki wa maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki kutumia fursa hiyo kuonesha bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na zenye viwango thabiti ili kuupa hadhi inayostahili Mkoa huo.

Mhe Malima ametoa rai hiyo  Agosti 29, 2022 wakati akifungua Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika kwenye viwanja vya Nyamagana mjini mwanza wakati akizungumza na wananchi na washiriki wa maonesho hayo.

"Wito wangu kwenu TCCIA na wadau wengine wa maonesho haya ni kwamba tufanye mambo haya kwa ufanisi mkubwa na mtu akija hapa akutane na maonesho makubwa yenye hadhi ya Mkoa wa mwanza yaani mambo yetu yawe na hadhi na taswira ya mkoa mkubwa wa pili nchini kwenye masuala ya kibiashara." amesema Mkuu wa Mkoa.

Katika kuyaboresha maonesho hayo, Mhe. Malima ametoa rai kwa TCCIA kuainisha maeneo bora zaidi ya kufanyia maonesho ili kwa kushirikiana na ofisi za wakuu wa wilaya  maonesho ya mwaka 2023 yafanyike kwenye eneo rasmi lenye hadhi na sio kwenye uwanja wa mpira.

Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Mwanza, ndugu Gabriel Kenene amesema pamoja na mambo mengine chemba hiyo inawaunganisha wafanyabiashara na wakulima na kuwawezesha kupata mazingira bora ya uwekezaji kwenye masuala ya Uwekezaji nchini.

Vilevile, bwana Kenene amebainisha changamoto kadhaa zinazowakabili zikiwemo kutokuwepo kwa sera ya viwanda na biashara na sekta binafsi ya kutatua changamoto zinazoikabili sekta binafsi nchini na akatoa rai kwa serikali kutatua changamoto zinazoikabili sekta binafsi.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.