Leo Novemba 11, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ofisini kwake amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Ukiongozwa na Bw. Nyasebwa E. Chimagu Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya hiyo.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.