• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

SEKTA YA MICHEZO NCHINI IMEKUA KWA 18%- DKT BITEKO

Posted on: September 7th, 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tasnia ya burudani ambayo michezo ipo ndani yake imeendelea kukua kwa kasi kubwa na kuchangia Pato la Taifa na kuongeza ajira nchini ambapo 2022/23 ilikua kwa asilimia 15 na mwaka 2023/24 kwa asilimia 18.

Mhe. Biteko ameyasema hayo mapema leo tarehe 07 Septemba, 2025 wakati akizindua rasmi Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za serikali (SHIMIWI) kwa Mwaka 2025 katika uwanja wa CCM Kirumba wilayani Ilemela Mkoani Mwanza.

Mhe. Biteko amesema watumishi nchini ni sehemu ya kukua kwa sekta hiyo kupitia SHIMIWI kwani wamekua wakiwakusanya maelfu ya wachezaji katika kushindana na kujenga ari ya kimichuano wakati wote hivyo wamekua wakiichagiza jamii kuthamini michezo na kuruhusu hata vijana kushiriki.

Aidha, ametoa wito kwa viongozi wa Shirikisho hilo kusimamia mazoezi ya awali kwa ajili ya kuwaandaa kiakili pamoja na upimaji wa afya kwa wachezaji kwa kutumia taasisi za afya nchini ili kupata wachezaji wenye afya bora na kuwaepusha na maradhi ya ghafla wakati wa michuano.

Akitoa salamu za Mkoa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Serikali kwa kuufanya mkoa huo kuwa Kitovu cha Michezo kwa kuwekeza katika michezo ambapo inajenga Kituo cha Kulea Vipaji katika Chuo cha Michezo Malya kwa zaidi ya Bilioni 31.

Aidha, ametumia wasaa huo kuwaalika tena SHIMIWI na Mashirikisho mengine kufanya mashindano yao Mkoani Mwanza kwani ina miundombinu rafiki ya viwanja vya michezo, malazi pamoja na maeneo ya vivutio vya utalii na maeneo nadhifu ya kupumzika hususani kwenye fukwe za ziwa Victoria.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamadini na Michezo Bw. Gerson Msigwa amebainisha kuwa mashindano hayo kwa kipindi cha miaka mitano mfululizo hayajasimama na ameahidi wizara hiyo kuendelea kusimamia michezo hiyo ikiwa ni pamoja na kusimamia haki ili mshindi apatikane kihalali.


Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MTANDA AKABIDHI MAGARI YA BILIONI 1.3 KWA JESHI LA POLISI

    September 12, 2025
  • SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI NCHINI

    September 11, 2025
  • MAJALIWA AAGIZA KUIMARISHWA ZAIDI SEKTA YA UFUATILIAJI, TATHMINI NCHINI

    September 11, 2025
  • NSSF WAFANYA ZIARA YA UWEKEZAJI MWANZA

    September 10, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.