• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Serikali yaahidi kuendelea kuboresha huduma za Mahakama kwa maslahi ya Wananchi

Posted on: April 12th, 2023


Serikali imesema itaendelea kuboresha utendaji kazi wa Mahakama ili kuiwezesha kuendelea kutoa haki kwa wananchi na  kuimarisha mnyororo wa utoaji haki.

Hayo yameelezwa jijini Mwanza leo Aprili 12,2023 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa tathmini ya utendaji wa mapitio ya nusu ya kwanza ya mpango mkakati wa mahakama 2020/21 hadi 2024/2025.

Ameongeza kuwa  ufanisi wa shughuli za utoaji haki nchini ni nguzo muhimu ya kulinda amani na utulivu uliopo, kukuza utawala wa sheria pamoja na shughuli za kiuchumi, biashara na uweezaji

"Majaji muendelee kufanya kazi kwa uadilifu ili kuwawezesha watanzania kupata haki kwa mujibu wa sheria, ucheleweshwaji wa mashauri unaongeza gharama si tu kwa wadau bali hata kwa uchumi wa taifa hivyo ni wajibu wa mahakama kuhakikisha wananchi wanapata huduma za mahakama kwa gharama nafuu," ameagiza.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria   Mhe. pauline Gekul   amempongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuunga

 Mkono juhudi za utendaji kazi wa muhimili wa mahakama nchini hususan kwa kuiwezesha mahakama kifedha katika kutekeleza  majukumu yake kwani muhimili huo ni moja ya nguzo ya kudumisha amani na utamaduni wa nchi.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima amemshukuru Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Juma na uongozi wa mahakama kwa kufanyia mkutano huo  muhimu sana katika kuhakikisha utendaji kazi wa mahakama unaimarika mkoani humo.

"Kwa niaba ya wananchi wa Mkoa wa Mwanza tunashukuru sana pia tunakushukuru sana Mhe. Makamu wa Rais Dkt.Mpango kwa ujio wako mgeni njoo mwenyeji apone hivyo naomba washiriki wote wa mkutano huu mkimaliza mkutano msiondoke bila kutembelea vivutio vilivyopo mkoani mwetu ikiwemo saa nane na jiwe linalocheza lililoko Wilaya ya Ukerewe," ameeleza Mhe. Malima.

Naye, Jaji Mkuu wa Tanzania  Mhe.Prof Ibahim Juma amesema  mkutano walioufanya Novemba 10,2014 waliamua kupambana na changamoto zinazokabili mfumo wa utoaji haki ikiwemo ucheleweshaji mkubwa katika utatuzi wa migogoro,vitendo vya rushwa na ukiukwaji wa maadili ili kuhakikisha wananchi wanaridhika na huduma wanazozitoa.

"Ili kuboresha huduma tunazozitoa tumetunga kanuni mpya zaidi  ya 75 katika kamati mbalimbali tunachopaswa kujiuliza sio kanuni tulizozitunga  tujiulize je ndani ya hizo kanuni zimeleta mabadiliko gani?" amehoji.

Kwa mujibu wa Mhe.Pro.Juma mkutano huo utasaidia kuongeza ufanisi wakati wa utekelezaji wa shughuli za mahakama.


Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.