• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Soko la Mlango Mmoja lasababisha hasara

Posted on: September 29th, 2018

Mkuu  wa Mkoa wa Mwanza amefunga soko la Mlango Mmoja  kutokana na janga la moto lililotokea tarehe 28/09/2018 saa 10:30 alfajiri siku ya Ijumaa.

Akitangaza  Agizo  hilo la Mkuu wa Mkoa  wa Mwanza ,Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe.Dkt Phillis Nyimbi amesema  wakati huu wanalazimika kufunga soko kwa siku mbili kwa  ajili ya wafanyabiashara kuendelea kufanya tathimini ya mali zilizoharibika chini ya vyombo vya ulinzi na usalama.

Aidha Mkuu wa wilaya ya Nyamgana amesema kwa wakati huu  Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya,Halmashauri ya Jiji la Mwanza, viongozi wa soko,viongozi wa dini pamoja na viongozi wa siasa watakaa pamoja na kuja na mikakati ya muda mfupi,muda wakati na muda mrefu kwa ajili ya soko la Mlango mmoja.

Hata hivyo Dkt. Phillis Nyimbi ametoa shukrani kwa wadau wote wakiwemo Polisi, Zima moto,Nile Perch, Mwauwasa pamoja na wananchi walivyojitokeza na kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa uliopelekea moto kudhibitiwa kutokuendelea kuleta madhara makubwa.

Moto ulianza kuwaka saa 10:30 Alfajiri ya leo kwenye mabanda ya mama lishe, na mafundi Cherehani na mabanda ya nguo na viatu.

Kwa taarifa ya awali ya kamati ya Tathimini imebaini kuwa maduka 23 kati ya 156 yameteketea na Meza 55 kati ya 351 zimetekea  zenye mali yenye  thamani  ya Tsh  583,134,000.

Maduka Mengi yalikuwa yakitumika kama stoo ya wafanyabiashara wa Mlango mmoja.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.