• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

TASAF yatoa Shs milioni 104 kwa wanufaika Buchosa Wilayani Sengerema

Posted on: February 21st, 2023


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Jenista Mhagama amewahakikishia wakazi wa Buchosa Wilayani Sengerema-Mwanza kuendelea kunufaika na miradi ya TASAF kwa kuletewa fedha Shs milioni 104.

Akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Lushamba mara baada ya kufanya  ukaguzi wa Kituo cha Afya,Waziri Mhagama amesema fedha hizo zimelengwa kwa wanufaika ilibwazidi kukuza shughuli zao za kujiongeza kipato kwa familia zao kwa kufanya ufugaji na shughuli nyinginezo.

Aidha, ametoa maagizo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa kukomesha tabia ya fedha hizo kutolewa kwa upendeleo na kuleta malalamiko kwa waliokusudiwa.

"Nimekagua kituo hiki cha Afya bado sijaridhika na Kasi yake, haiwezekani fedha zimeingia tangu Aprili mwaka jana hadi leo kituo hakijakamilika nataka ufikapo Machi 31 kiwe kimekamilika ili Wananchi wapate huduma".Amesisitiza Mhe. Mhagama.


Vilevile, ameahidi kuongeza majengo mawili ya Wodi ya wakina baba, mama na mtoto ili kituo kiweze kutoa huduma bora na kwa wananchi wengi..

"Mhe. Waziri tuna kila sababu ya kumshukuru Rais wetu Dkt Samia kwa  upendo huu tumepokea ruzuku ya Shs Bilioni 5.5 Wilayani Sengerema kwa ajili ya kunusuru kaya masikini na mipango mingine ya maendeleo, tutaendelea kumuunga mkono Mhe.Rais kwa juhudi hizo." Senyi Ngaga, Mkuu wa Wilaya ya Sengerema.

Waziri Mhagama pia ametembelea Shule ya msingi Nyamimina ambako kuna mradi unaotekelezwa na TASAF wa ujenzi wa vyumba vya  madarasa mawili na Ofisi moja iliyogharimu Shs milioni 70.

Baada ya kupatiwa taarifa shule hiyo ina wanafunzi 1435, Waziri Mhagama ameongeza tena ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.