Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa Ndugu Benson Mihayo amepokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema ambapo amesema kwenye Halmashauri hiyo utakimbizwa katika umbali wa kilomita 81 ukiifuata miradi 5 yenye thamani ya Tshs. Bilioni 3.9.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.