• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

VIONGOZI MWANZA WAKUMBUSHWA UMAKINI WA KUSIMAMIA MIRADI YA SERIKALI

Posted on: April 23rd, 2024

VIONGOZI MWANZA WAJUMBE SHAW UMAKINI WA KUSIMAMIA MIRADI YA SERIKALI


Viongozi wa Serikali waombwa kutumia elimu waliopewa na Taasisi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) kwenda kuwa mabalozi wazuri katika kutekeleza kazi za Serikali hususani usimamizi wa miradi.

Rai hiyo imetolewa leo Aprili 23, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe. Hassan Masala wakati akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwenye wa uzinduzi wa kampeni ya elimu kwa umma kanda ya ziwa kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758 nchini.

“Naupongeza Mfuko wa UCSAF kwa lengo zuri la kuzindua mpango huu, serikali yetu imeonesha dhamira kwa vitendo mkakati wa kumletea maendeleo mwananchi hivyo ni wajibu wetu kuhakikisha inakuwa na tija." Mkuu wa Wilaya.

Vilevile, amemshukuru Rais Samia kwa kuendelea kuwezesha miradi mbalimbali hususani katika miradi ya mawasiliani ambayo itaenda kusaidia umma kwenye kurahisisha shughuli za kiuchumi.

Naye Afisa Mawasiliano wa UCSAF Celina Mwakabwale amesema  wanafikisha huduma za mawasiliano katika maeneo mengi yaliopo vijijini na machache yaliyopo mjini ambapo mnara mmoja unagharimu milioni 300 mpaka 350.

“UCSAF kwa kutambua umuhimu wa mawasiliano inashirikiana na makampuni ya simu kama Vodacom,Airtel,halotel,TTCL na mengine  kuwapa ruzuku ili kujenga miradi ya minara”Mwakabwale

Meneja wa Mfuko huo Kanda ya ziwa Mhandisi Benard Buremo aliyetoa taarifa kwa kina kuhusiana na miradi hiyo amebainisha huduma ya mawasiliano kuanzia vijijini inakwenda vizuri ambayo ndiyo malengo ya Serikali

Kwa upande wake Afisa Tarafa kutoka Mumbuga Ukerewe, Josephat Mazula amesema Serikali inatakiwa kuboresha minara ambayo tayari inafanya kazi ambayo kazi zake zimekuwa hafifu wanatakiwa kuhakikisha mawasiliano yanakuwa ya uhakika.

Baadhi ya washiriki katika uzinduzi huo walikuwa Makatibu Tawala,Watendaji wa kata, na Wakuu wa Wilaya.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.