• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Waandishi wa Habari waaswa kuzingatia Sheria na maadili ya Habari wanapotekeleza majukumu yao

Posted on: August 31st, 2021

Viongozi Mkoa wa Mwanza wamewataka wanahabari Mkoani humo kuzingatia maadili ya uandishi wa habari katika kutekeleza  majukumu yao.

Hayo yamebainishwa na Afisa Habari Mkuu wa Mkoa, Abel Ngapemba aliyemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi kwenye mdahalo ulioendeshwa na Mwanza Press Club katika ukumbi wa Victoria Palace Mkoani hapo.

"Maadili ya uandishi wa habari,uhuru wa kujieleza na haki ya kupata taarifa vinajieleza katika katiba na Sheria ya Habari hivyo ni vema kuzitekeleza alisema Ngapemba."



Katika Mdahalo huo  waandishi wa habari kutoka klabu za waandishi wa habari  Mwanza, Geita, Mara na Simiyu na wadau mmbalimbali wa habari, kutoka TCRA walihudhuria  akiwepo Mhandisi Francis Mihayo, huku Jeshi la polisi likiwakilishwa na Inspector Mwita Robert Mwita na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula akiwakilishwa na Flora Magabe.


Pamoja na kujadili mambo mengi kuhusu sekta ya habari mkoani humo wajumbe waliokutana kwenye mdahalo huo wamekubaliana juu maazimio mbalimbali ikiwemo kuitisha mkutano wa wadau wa habari wa kanda ya ziwa kujadili changamoto zinazokabili tasnia ya habari na utatuzi wake, kuendelea kuboresha sheria zinazogusa tasnia ya habari nchini zikiwemo EPOCA ya mwaka 2010,Media Service Act ya mwaka 2016,Cybercrime na Statistics act na kuimarisha mahusiano kati ya waandishi wa habari na wadau wa habari hasa taasisi za serikali.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.