• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

WADAU WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA NeST KATIKA MANUNUZI

Posted on: January 20th, 2025

WADAU WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA NeST KATIKA MANUNUZI


Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Mhandisi Chagu Ng'homa amewataka wadau wa ununuzi nchini kutumia mfumo wa Kielekitroniki ipasavyo ili kusaidia kupata wazabuni wenye gharama zinazolingana na thamani ya fedha zinazolipwa.

Ametoa wito huo leo tarehe 20 Januari, 2025 kwa niaba ya  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakati akifungua mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Rock City Mall uliopo Wilayani Ilemela, Mafunzo yaliyolenga Usimamizi na Ununuzi wa Umma Kielektroniki uliowakufanisha washiriki kutoka taasisi mbalimbali nchini.

Mhandisi Chagu amesema washiriki wanapaswa kuwa wazalendo kwenye kazi zao kwa kuzingatia kuwa wanatakiwa kulinda rasilimali fedha za nchi wakati wa ununuzi kwa kuwashindanisha wazabuni kwa mujibu wa sheria.

"Mfumo huu umeletwa mahsusi ili kusaidia kuongeza wigo wa ushiriki wa wazabuni, kukidhi mahitaji na matarajio ya watumiaji pamoja na kurahisisha mchakato wabuombaji zabuni hivyo nendeni mkazingatie hayo ili kulisaidia Taifa." Mhandisi Chagu.

Aidha, ametoa wito kwa Mamlaka ya Ununuzi wa Umma (PPRA) kuendelea kuboresha mfumo huo ikiwa ni katika kuweka mazingira rafiki kwa wazabuni na kutoa mafunzo kwa taasisi nunuzi ili kufikia malengo yalivyokusudiwa

Kadhalika Mhandisi Chagu ametoa pongezi kwa mamlaka hiyo kwa jinsi wanavyoendelea kuboresha mfumo huo ambao Mhe. Rais mwenyewe aliuzindua mahususi kwa ajili ya wadau kufuatilia mchakato kwa uwazi na kuona thamani ya fedha.

Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Bw.  Robert Kalunde amesema wameandaa mafunzo hayo ya siku 5 yanayowakutanisha washiriki zaidi ya 230 kutoka Taasisi mbalimbali nchini ili waujue vizuri mfumo huo na kufikia malengo kwenye ununuzi.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.