• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Watanzania waaswa uzalendo wa kulinda Miradi ya maendeleo

Posted on: April 18th, 2021

Watanzania  watakiwa kuwa wazelendo na waaminifu pindi wanapopata ajira kwenye miradi mbalimbali inayotelelezwa nchini ili kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan na kuitelekeza kwa vitenda kauli yake ya kazi inaendelea.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa awamu ya tano ( SGR LOT 5) Mwanza - Isaka alisema changamoto kubwa wanayoipata ni baadhi ya watu wanaopata fursa ya kufanya kazi kutokuwa waaminifu .

" Inabidi kila mmoja awe mlinzi wa mwenzake nchi inakwenda kasi kwa sasa uzalendo,uaminifu  unahitajika sana na Rais wetu anasimamia miradi hii yote kwa ukaribu sana kwa sababu jambo ili lipo kwa maendeleo" alisema Mongella.

Naye Naibu Meneja Mradi huo Mhandisi Alex Bunzu alisema mradi huo utahusisha ujenzi wa njia Kuu ya Reli yenye urefu wa kiliometa 249 na njia za michepuo zenye jumla ya urefu wa kiliometa 92 ,pia shughuli za awali za mradi huo zimeanza ambapo Mkandarasi aliwasili maeneo manne kwa ajili ya ujenzi wa kambi Kuu za mradi.

" Katika Mkoa wa Mwanza Mkandarasi amewasilisha maombi ya maeneo mawili kwa ajili ya ujenzi wa kambi hizi katika Kijiji cha Feli Wilaya ya Misungwi na Kijiji cha Nkalalo Wilaya ya Kwimba " alieleza Bunzu .


Kwa upange wake Mwenyekiti wa kitongoji cha Feli Johari Hassan alisema ombi lao kubwa ni vijana wa maeneo hayo na jilani kupewa kipaumbele wakati ajira zitakapoanza kutolewa  kwani vijana wengi kwa sasa wapo mtaani hivyo wapewe kipaumbele na kusiwepo na ubaguzi.


Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.