Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza leo Juni 30, 2023 wamekutana katika kikao cha kuelimishana juu ya mada mbalimbali zinazohusu utumishi na utendaji bora wa kazi kinachofanyika kila Ijumaa na wamepawa elimu na land matrix limited ambao wanajihusisha na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa na utoaji wa mikopo ya nyumba kwa watumishi katika maeneo tofauti nchini.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.