• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Wavuvi Mwanza wanufaika na huduma za d.light kwa maendeleo ya uchumi

Posted on: April 17th, 2021

Wananchi hasa wavuvi watarajia kunufaika na huduma za d.light baada ya kuzindua ofisi ya Kanda ya Ziwa Jijini Mwanza.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo leo Diwani wa Kata ya Nyamagana Bhiko Kotecha alisema ni wakati wa d.light kwenda kwenye mialo na kutoa elimu kwa wavuvi ili waachane na uvuvi wa kutumia taa za mafuta  bali watumie d.light ili kuboresha mazingira na kuondokana  na gharama kubwa wanazozitumia kwa sasa.

"Uwepo wa tawi hilo litawasaidia kufika kwa ukaribu nimeona bidhaa zenu ni nzuri na mpangilio wa uuzaji wenu ni mkakati mzuri kwa jamii ya hali zote hakika mnaleta mwanga na kuboresha maisha ya watanzania na hii ndio chachu ya maendeleo" alisema Kotecha

Saitoti Naikara ni Meneja biashara d.light Kanda ya Ziwa alisema mikakati ya kampuni hiyo ni kuhakikisha ifikapo 2030 wawe wamewafikia wateja zaidi ya Billion 1 ambao watakuwa wanatumia bidhaa zao hiyo inatokana na upatikanaji wake kuwa rahisi na zenye gharama nafuu zaidi na inampa mteja uhuru wa kuchagua kulipa kidogokidogo ana kununua kwa pesa taslimu.

Alisema malengo yao ni kuifikia jamii yote hasa maeneo ya vijijini ambayo yanakabiliwa na changamoto ya nishati mbadala ya uhakika pia wametoa ajira kwa vijana ambao ni mawakala sehemu mbalimbali lakini pia watawafikia wavuvi kwa sababu wana vifaa vinavyokaa na mwanga muda mrefu huku vikiang'aza zaidi ikiwa ni kuonyesha nia thabiti ya kuisadia serikali katika kupambana na uharibifu wa mazingira kuacha kutumia nishati ya mafuta kipindi cha uvuvi


Kwa upande wake Charles Budeba mmoja wa wateja wa d.light alisema anajivunia kuwa mteja wa kampuni hiyo kwani wanahuduma nzuri  familia yake inanufaika watoto wamepata mwanga wa kusoma pia mfugo yake kutoshambuliwa na wanyama kama ilivyokuwa mwanzo  kwa sababu ya giza .


Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.