• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

WAZIRI ULEGA AWASILI MWANZA KUTEKELEZA AGIZO LA PM UKAGUZI MADARAJA

Posted on: December 11th, 2025

Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega (MB) leo Desemba 11, 2025 amefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kufanya mazungumzo mafupi na Mhe. Mtanda na kubainisha kuwa yupo kwenye ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua utekelezaji wa ujenzi wa madaraja ya Mkuyuni na Mabatini.

Mhe. Ulega amesema ujenzi wa madaraja hayo yaliyopo katikati ya Jiji la Mwanza ni muhimu sana kwani ndio kiunganishi cha kuingia na kutoka mjini hivyo atakutana na wakandarasi na kuwekeana mikakati ya ukamilishaji.

Awali, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amemwambia Mhe. Ulega kwamba baada ya ziara ya Mhe. Waziri Mkuu kuwa alikutana na wakandarasi wanaojenga madaraja hayo na wakawekeana mpango kazi wa ukamilishaji kwa haraka ambao ndio sasa wanaufuata.

Aidha, Mhe. Mtanda ametoa rai kwa wizara ya Ujenzi kukiondosha kivuko kimoja kilichobaki katika gati la Kigongo hata baada ya kukamilika kwa daraja la JP Magufuli ili kikasaidie kutoa huduma ya kuvusha abiria katika visiwa ambavyo vinauhitaji wa usafiri wa majini.

Waziri Mkuu alifanya ziara Mkoani Mwanza hivi karibuni na kubaini adha wanayoipata wananachi kutokana na daraja la Mkuyuni linalotekelezwa na mkandarasi Jasco building and civil contractors (5.7 B) na daraja la Mabatini linalotekelezwa na Nyanza Road Works Ltd (6 B) kuchelewa kukamilika ndipo akamtaka Waziri wa ujenzi kufika mara moja kukagua utekelezaji.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MTANDA AFANYA KIKAO NA NAIBU WAZIRI TAMISEMI (AFYA)

    December 16, 2025
  • WAHITIMU WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA WANATEGEMEWA SANA NA SERIKALI- MHE. WANU

    December 15, 2025
  • WAKUU WA VITENGO MIKOA WATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI KIZALENDO ILI KUCHOCHEA MAENDELEO

    December 12, 2025
  • WAZIRI ULEGA AWASILI MWANZA KUTEKELEZA AGIZO LA PM UKAGUZI MADARAJA

    December 11, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.