• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

WIZARA YA KILIMO YATAKIWA KUWEZESHA VIJANA KUINGIA KWENYE KILIMO

Posted on: February 16th, 2026

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wizara zingine kuwajengea uwezo vijana na kuwapatia maeneo ili waweze kufanya kilimo hususani cha Biashara.

Ametoa wito huo mapema leo Februari 16, 2026 wakati akizungumza na timu ya Uhamasishaji wa Kisera kuhusu ukuzaji na uendelezaji wa ushoroba wa Kilimo waliofika ofisini kwake kujitambulisha kuelekea mkutako mkubwa unaotakiwa kufanyika mkoani humo.

Amesema programu nyingi nchini zinaishia kwenye makaratasi jambo ambalo linakwamisha juhudi za serikali za kuwezesha makundi kujihusisha moja kwa moja na kilimo hivyo ni wakati sasa wa kubadili mbinu kwenda kwenye utekelezaji.

Ameongeza kuwa Wizara ya Kilimo inaweza kushirikiana na TAMISEMI kuyatwaa maeneo kutoka kwa wamiliki na kuweka miundombinu ya umwagiliaji na kuhakikisha mikopo kwa vikundi inakwenda kwenye utekelezaji wa kazi zenye tija.

“Programu kama hizi zitusaidie kuwezeaha mamlaka za Serikali za Mitaa kuandaa maeneo kwa wananchi na kuyafanya kuwa dira ya kufanyia biashara kama ni kwa kilimo au ufugaji na uvuvi ili kusaidia vijana wengi ambao hawana ajira.” Balandya.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Agriculture Growth Corrifors if Tanzania (AGCOT) Bi. Elizabeth Musokia amesema kwa muda mrefu Shirika hilo wamekua na wakisimamia Uratibu wa Mpango kazi kwa kushirikiana na wizara zingine ili kuhakikisha kilimo wanakikuza nchini.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI IDARA YA MAAFA OWM AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA DHARULA MWANZA

    February 20, 2026
  • KAYA 19,344 KUNUFAIKA NA BIMA YA AFYA KWA WOTE MWANZA AWAMU YA KWANZA

    February 20, 2026
  • RC MTANDA AMPOKEA WAZIRI DEUS SANGU MWANZA

    February 20, 2026
  • RC MTANDA AWATAKA WASIMBE NA WABANZA KUUNGANA KUKATA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    February 20, 2026
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.