• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

WODI YA KISASA YA WATOTO WACHANGA KUZINDULIWA KWIMBA

Posted on: February 16th, 2026

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana leo tarehe 16 Februari, 2026 amepokea ugeni kutoka Wizara ya Afya, Wizara zingine na taasisi za kisekta waliofika mkoani humo kwa ajili ya maandalizi ya uzinduzi wa wodi ya kisasa ya watoto wachanga iliyojengwa wilayani Kwimba utakaofanyika hivi karibuni.

Akiongea na timu hiyo Bwana Balandya ameishukuru Wizara ya Afya kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel kupitia mradi wa Keep a Child Alive kuwezesha kukamilika kwa wodi hiyo ya viwango vya kimataifa kwani itasaidia kuimarisha huduma za watoto wachanga.

Amesema serikali imeendelea kuboreaha huduma za afya mkoani humo katika kila eneo kuanzia madawa na vifaa tiba hivyo ujio wa washirika hao ni uungaji mkono wenye tija sana kwa taifa kwani unakusaidia kuondoa vifo vya watoto wachanga vitokanavyo na uzazi na hata baada ya kuzaliwa.

Naye, Mkurugenzi wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka wizara ya Afya Dkt. Felix Bundala amesema Wizara imemuomba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungua rasmi wodi hiyo mnamo tarehe 01 Machi, 2026 ambapo anatarajiwa pia kuhudhuria Mkurugenzi wa WHO.

Aidha, amefafanua kuwa ujio wao Mkoani Mwanza kwa sasa ni kwa ajili ya wadau wote kuona kwa pamoja namna mradi ulivyotekelezwa na kupitishana katika namna gani jengo hilo pamoja na miundombinu yake itatoa huduma.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI IDARA YA MAAFA OWM AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA DHARULA MWANZA

    February 20, 2026
  • KAYA 19,344 KUNUFAIKA NA BIMA YA AFYA KWA WOTE MWANZA AWAMU YA KWANZA

    February 20, 2026
  • RC MTANDA AMPOKEA WAZIRI DEUS SANGU MWANZA

    February 20, 2026
  • RC MTANDA AWATAKA WASIMBE NA WABANZA KUUNGANA KUKATA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    February 20, 2026
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.