Posted on: September 2nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wafanyabiashara ndogondogo mkoani humo kuwa na nidhamu ya shughuli zao ili kuendeleza mitaji na kupata faida zenye tija.
Ametoa wito huo ...
Posted on: September 2nd, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya amezipongeza na kutoa wito kwa Mamlaka za usimamizi wa huduma za Maji nchini kuendelea kuzijengea uwezo taasisi za Maji hususani katika kugawa rasilimali, kuk...
Posted on: September 2nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ametoa wito kwa wakuu wa taasisi na mashirika nchini kutenga fedha za michezo na kuzitumia kwa mujibu wa vifungu vya michezo ili kuimarisha afya ya watumishi.
...