Posted on: July 4th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amemtaka Mkandarasi CCECC kuongeza spidi ya Ujenzi wa Daraja la JPM lenye urefu wa KM 3.2 na wafanyakazi kuwa wazalendo katika kuhakikisha...
Posted on: July 2nd, 2022
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amewakaribisha wawekezaji wakubwa kukamata fursa za uwekezaji zinazopatikana Mkoani humo ikiwemo ujenzi wa Hoteli za Kitalii fukwe za Ziwa Victoria ...
Posted on: July 1st, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amewapongeza na kuwashukuru watumishi wa Ofisi yake kwa ushirikiano uliozaa ufanisi mkubwa kwenye kazi kwa kipindi cha mwaka wa fedha ulioishia...