Posted on: March 24th, 2023
Mkoa wa Mwanza umeishachukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na homa inayosababishwa na Virus vya Marburg ikiwemo kuwapa watumishi wa afya mafunzo mahususi ya kuhudumia wagonjwa...
Posted on: March 22nd, 2023
Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na idara na sekta mbalimbali ambazo ziko chini ya wizara hiyo wameadhimisha wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani iliyofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza kwa...
Posted on: March 17th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Adam Malima ametoa wito kwa Wadau wa Usalama barabarani kuangalia namna ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya Sheria za Usalama barabarani ili ziweze kutoa adhabu ...