Posted on: September 2nd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima amemtaka Mkandarasi anayejenga Mradi wa Soko Kuu la Kisasa Mohamed Builders Company Limited na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuweka mipango thabiti ya...
Posted on: August 31st, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Adam Malima Jumanne hii ametoa wiki sita kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya lami ya kilomita mbili ya Nakutunguru na Nkilizya mjini Nansio kutokana na kusuasua kukamilish...
Posted on: August 30th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe Adam Malima amewataka washiriki wa maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki kutumia fursa hiyo kuonesha bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na zenye viwango thabiti ...