Posted on: August 25th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina Makilagi leo Agosti 25, 2025 amepokea Mwenge wa Uhuru ukitokea wilayani Ukerewe ambapo amesema utakimbizwa katika miradi 8 yenye thamani ya zaidi ya Tshs. Bilion...
Posted on: August 24th, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 Bw. Ismail Ali Ussi ameipongeza Balmashauri ya Wilaya ya Ukerewe kwa kuviwezesha kiuchumi vikundi vya vijana kwa kuwapatia mikopo kupitia mapato ...
Posted on: August 24th, 2025
Leo Agosti 24, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameupokea Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa shule ya msingi Muluseni wilayani Ukerewe ukitokea Mkoani Mara na amebainisha kuwa utakimbizwa kw...