Posted on: May 10th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel amemtaka Mkandarasi wa Miradi ya Kimkakati Soko Kuu na Stendi mpya ya Nyegezi kuikamilisha ndani ya muda ili Wananchi wapate Maendeleo.
...
Posted on: May 9th, 2022
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike amezitaka Halmashauri zote Mkoani humo kukamilisha Miradi yote ya Vituo vya Afya na mfumo wa upokeaji na ugawaji wa dawa uwe sahihi.
Katibu...
Posted on: May 7th, 2022
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewataka Wananchi kuendelea kuwa na Imani na Serikali ya awamu ya Sita inayosimamia Miradi yote nchini ambayo itakamilika kwa wakati.
Akizungumza Mkoan...