Posted on: February 10th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima amekitaka Chama cha Ushirika Nyanza kupiga hatua kwa kuwa na nguvu ya kiuchumi kwa kumiliki Benki,Viwanda na Mashamba.
Akizungumza leo kwenye &nb...
Posted on: February 10th, 2023
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani humo kutenga na kuwasilisha fedha za kutekeleza afua za lishe kwa wakati ili...
Posted on: February 8th, 2023
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndg.Balandya Elikana amewakumbusha walimu walezi na Wazazi kuzingatia na kuyafanyia kazi mafunzo mbalimbali wanayopatiwa ili yawe na tija kwa Taifa.
...