Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akifungua Baraza la biashara katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mkikutano uliopo katika ofisi ya Mkoa uliojumuisha wajumbe mbalimbali wa Baraza hilo wa Mkoa wa Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akitoa salamu za pole kufuatia msiba wa Dkt. Regnald A. Mengi.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amewachukulia hatua wale wote waliohusika na wizi wa mitikani ya darasa la saba kwa shule zilizofutiwa mitihani Jijini Mwanza.
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.