• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Mkuu wa Mkoa afanya ukaguzi wa ukarabati wa Meli

Posted on: November 22nd, 2017

Mhe.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ,John Mongella amefanya ziara ya kukagua ukarabati wa meli za MV Umoja na MV Crarias katika karakana kuu ya meli ya Mwanza South ili kujionea kazi hiyo inavyofanyika na kutoa maelekezo ya kuhakikisha kazi hiyo inakamilika kwa wakati ili kuwezesha shughuli za usafirishaji katika ziwa Victoria kutoka Mwanza zinaimarika zaidi.

Awali , Mkuu wa Bandari ya Mwanza Bw. Danie Sila amemueleza Mkuu wa Mkoa kuwa ukarabati huo unaoelekea kukamilika utaimarisha shughuli za usafirishaji na bandari kufanya kazi vizuri zaidi kwa kuwa harakati za kibiashara zitaongezeka na kurahisisha usafirishaji wa abiria na mizigo.

Akizungumzia hali ya ukarabati wa meli hizo katika nia ya dhati ya Serikali kuboresha huduma za usafiri katika ziwa Victoria amesema mkazo umewekwa katika ukarabati wa meli hizo za MV Umoja , MV Crarias, MV Butiama na MV Victoria na uundaji wa meli kubwa mpya utakaoanza hivi karibuni kutaboresha kwa kiasi kikubwa huduma za usafiri na usafirishaji katika ziwa Victoria hasa kuanzia Mwanza kwenda maeneo mengine ya ndani na nje ya nchi. Amemshukuru Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa ukarabati wa Meli hizo pamoja na ujenzi wa Meli mpya unaotarajiwa kuanza Mwenzi Januari kwa kuwa Mkandarasi wa kazi hiyo ameshapatikana.

Mkuu wa Mkoa ameshatoa rai kwa wananchi na wanyabiashara kutumia fursa hiyo kuboresha biashara zao kwa kuwa maeneo mengi yatafikika kirahisi na kwa usafiri wa uhakika.

Kaimu Meneja wa bandari Mkoa wa Mwanza Bw.Erick B. Hamis ameeleza maendeleo ya ukarabati wa MV Umoja umekamilika na Umegharimu shilingi Milioni 50 na MV Crarias upo katika hatua za mwisho za ukarabati wake na mara ukarabati utakapokamilika basi huduma za usafiri zitaimarika.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 05, 2021
  • Tangazo kuhusu uhamisho wa ndani na nje ya Mkoa wa Mwanza. January 05, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA MWANZA MWAKA 2021 February 05, 2021
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2018 Shule za Sekondari za Serikali Mkoa wa Mwanza December 13, 2017
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC Gabriel atoa Pikipiki 13 kwa RUWASA na vyombo vinavyotoa huduma za maji Mwanza

    June 29, 2022
  • Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba yatoa dawa Zahanati ya Gereza la Butimba Mwanza

    June 29, 2022
  • Wataalam wa Afya Halmashauri za Mwanza watakiwa kuongeza bidii ya kazi ili kuiboresha Sekta hiyo

    June 29, 2022
  • RC Mwanza azitaka Halmashauri kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha

    June 28, 2022
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA

    S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.