Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof.Palamagamba Kabudi leo Agosti 31,2021 amefanya Ziara katika Wilaya ya Nyamagana na Ilemela lengo ikiwa ni kukagua utekelezaji wa mpango wa usajili wa watoto wa Umri Chini ya Miaka mitano.
Katika ziara hiyo Mhe.Prof.Kabudi amezindua Kitaifa usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Watoto walio chini ya umri wa miaka 5 kwa kiwango cha Kata ambapo jumla ya Kata 191 zitafikiwa kwenye vituo 389 vya Afya Mkoani humo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.