• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

MWATEX. Yawekwa “Kiporo” Suala la Viwanda..

Posted on: August 12th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amesema mbali na kumaliza suala la kushughulikia suala la kiwanda cha Ngozi cha Mwanza Tanneries hivi sasa suala lililopo mbele yake hivi sasa nikushughulikia viwanda vingine vilivyo binafsishwa lakini wahusika wakashindwa kuviendeleza hadi sasa.

Mongella ametoa kauli hiyo Jiji Mwanza mapema wiki hiki hii alipofika katika kiwanda cha Ngozi cha Mwanza Tanneries kwaajili yakutanzua sintofahamu ya nani mmiliki halali wa kiwanda hicho kufuatia sintofahamu iliyokuwa imegubika kwa muda mrefu.

“Nimesha pokea orodha ya viwanda vilivyo binafsishwa kutoka kwa msajili wa hazina, nasema hivii, hatutaishia hapa alisema Mongella na kuongeza “MWATEX,  tunakwenda, na nimeambiwa kunakiwanda kingine kipo jirani na MWATEX kinaitwa Pamba Engineering huko tutakwenda” na viwanda vyote ambavyo serikali iliwapa watu kuendesha kwa nia njema lakini wameshindwa lazima hatua stahiki zichukuliwe.

Mongella amesema mbali na kuchukua fungua za kiwanda cha Ngozi cha Mwanza, vilevile mali zote zote za Mwanza Tanneries zitarejeshwa ikiwapo nyumba tatu zilizopo eneo la Bugando.

“Kuna nyumba tatu zipo Bugando zinakaliwa na familia sita, nasema walipo katika nyumba hizo waweke utaratibu wa kukabidhi hizo na tutatafuta mali zingine za Mwanza Tanneriea popote pale zilipo.

Suala la kukirejesha kiwanda hicho cha Ngozi mikononi mwa serikali imechukua siku 29 baada ya mkuu wa mkoa kufanya ziara kiwandani hapo kwa mara ya kwanza tarehe 10, 20,  Julai 2017 na kisha akarejea na majibu tarehe 09, August, 2017 akiwa na majibu sahihi kuwa kiwanda hicho hakikuwahi kubinafsishwa.

Katika hatua nyingine, waliokuwa wakijifanya ni wamiliki halali wa kiwanda hicho wamekiri mbele ya uongozi wa mkoa kuwa wao walikuwa kama kivuli katika eneo hilo.

Akizungumza kwa niaba ya kampuni ya Sky Sraper Chacha Wangeri amesema kilifanyika na serikali kutwaa eneo hilo ni suala jema kabisa, “Nadhani mkuu wa mkoa alikuwa na nia njema kutaka kujiridhisha nani mmiliki halali wa eneo hilo na leo mkuu wa mkoa ametuthibitishia kuwa sisi sio wamiliki halali na kama kuna mtu anadhani yeye anamiliki ya eneo hilo basi apelike vielelezo ofisini kwake nay eye atakuwa tayari kutengua kauli yake”, Alisema Chacha

Kufuatia Maelekezo ya Serikali, Chacha Wangeri wa Kampuni ya Sky Scraper na Nurdin Suleiman wa kampuni ya Caspian walikabidhi funguo kwa uongozi wa Mkoa  walizokuwa wanazishikilia na kisha mkuu wa Mkoa kutangaza rasmi kuwa wanatafuta Mwekezaji makini atakayeweza kuwekeza katika kiwanda hicho.

“Nitangaze tunatafuta mwekezaji Serious nasema Mwekezaji serious aje awekeze sio mababaishaji”, alisema Mongella.

Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imejizatiti katika kuhakikisha nchi inakuwa ya Viwanda na kuweza kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.