• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RAS BALANDYA AFUNGUA MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA

Posted on: June 23rd, 2025

RAS BALANDYA AFUNGUA MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana leo terehe 23 juni, 2025 amefungua rasmi mafunzo  ya matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Utendaji kwa Watumishi wa Umma ( PEPMIS) yenye lengo la kuwajengea uwezo watumishi wa umma katika matumizi sahihi ya mfumo huo.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Ndugu Balandya amesema mafunzo yatawajengea uwezo watumishi wa Umma ili waweze kutoa Taarifa ya utekelezaji na kupimwa majukumu yao kupitia mfumo wa usimamizi wa utendaji kazi wa Utumishi wa Umma.

“Ni matarajio  yangu kuwa mafunzo haya yatatusaidia kuongeza uelewa na umakini kuhusu mfumo unavyofanya kazi na kuboresha uwajibikaji kwa kila mtumishi”.

Ninaamini mtatumia vyema fursa ya mafunzo haya na yataenda kuimarisha uelewa wa mfumo Ili muwe na uwezo mkubwa wa kupanga majukumu yenu. Ameongeza Katibu Tawala.

Kadhalika, Ameeleza ametumia wasaa huo kueleza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii kwa kuwataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kujituma na kujitoa kwa moyo Ili kuweza kufikia malengo.

Mafunzo hayo yameratibiwa na wakufunzi kutoka Ofisi ya Rais – Menejiment ya Utumishi wa Utawala Bora ambayo yamehusisha washiriki kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, wakiwemo Wakuu wa Sehemu na Vitengo, Wakurugenzi wa Halmahsauri, Makatibu Tawala wa Wilaya, pamoja na watumishi kutoka taasisi mbalimbali.

Kwa upande wao, washiriki wa mafunzo hayo wameeleza kuwa yamewasaidia kupata uelewa wa kina kuhusu mfumo huo na umuhimu wake katika kuboresha uwajibikaji na utendaji kazi wa kila mtumishi.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KAMA TUNAHITAJI KUSONGA MBELE NI LAZIMA KUJIUNGA NA USHIRIKA – RAS BALANDYA

    June 24, 2025
  • RAS BALANDYA AFUNGUA MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA

    June 23, 2025
  • SHEREHE ZA BULABO KUPANDISHWA HADHI KUWA URITHI WA UTAMADUNI

    June 21, 2025
  • SUNGUSUNGU DAY YAFANA MWANZA, RAIS SAMIA ASIMIKWA UTEMI

    June 20, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.