• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RC Malima awapa Rai wazalishaji Mwanza

Posted on: August 18th, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima amewataka wazalishaji na wafanyabiashara mkoani humo kuzingatia misingi ya Ushindani kwa mujibu wa taratibu za nchi ili kulinda mustakabali wa ukuaji wa uchumi wa nchi.

Mhe. Malima ameyasema hayo wakati akifungua Semina ya uhamasishaji wa masuala ya ushindani na udhibiti wa bidhaa bandia kwa wazalishaji iliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza leo, Agosti 18, 2022.

"Ushindani una misingi ya kufuata, watanzania tuna mgogoro wa viwango na ushindani tena wa ndani na wa nje lakini lazima tuzingatie ubora wa bidhaa zetu na kusema tu bidhaa ni bidhaa na tukifanya hivyo tutasaidia kukuza uchumi wa nchi yetu."

Aidha, ameishukuru Tume ya Ushindani kwa mafunzo hayo murua ambayo yatawasaidia wafanyabiashara kufahamu masuala ya udhibiti wa bidhaa bandia na kuwapitisha kwenye sheria na wajibu wa Mtumiaji wa bidhaa na huduma wanazojihusisha nazo.

Vilevile, ametoa wito kwa Tume ya Ushindani nchini kuangalia ubora wa bidhaa nchini kwa kulinganisha na hali ya bei kwenye bidhaa hasa za viwandani na ujenzi ambako ni sekta nyeti kwa maendeleo ya makaazi ya wananchi na ameahidi kushirikiana nao kwenye eneo hilo.

Naye William Erio, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) amesema katika kutekeleza malengo ya serikali ya kuvutia wawekezaji na kuimarisha uwekezaji nchini Taasisi hiyo imeweka kanuni na taratibu za kuhakikisha bidhaa zinazotumika nchini zinakua bora na si bandia na kwamba mlaji na mfanyabiashara haumii kwa namna yoyote.

"Shughuli zenu haziishii kwenye kuzalisha pekee bali bali uingizaji wa biashara hapa nchini sasa sisi tunasimamia ubora wa bidhaa na kuhakikisha wafanyabiashara hawajihusishi na bidhaa bandia hivyo ni lazima mfuate kanuni na taratibu kuhakikisha mnasajiri biashara zenu" amesema bwana Erio.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.