• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RC MTANDA AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI KUIENZI NA KUENDELEZA AMANI

Posted on: July 9th, 2024

RC MTANDA AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI KUIENZI NA KUENDELEZA AMANI


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka viongozi na waumini wa dini mbalimbali katika Mkoa wa Mwanza na Tanzania kiujumla kuendelea kuitunza na kuienzi amani ya nchi tuliyonayo kwani ndio tunu kwa Taifa letu.

Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo alipokuwa akuzungumza katika muhadhara wa kongamanio la nasaha na dua lilioandaliwa na Alhadji  shekhe Dkt. Seif Hassan  Sulle katika Viwanja vya Furahisha Wilayanj Ilemela, ambalo limelenga kutoa elimu na nasaha kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo dini ya kiislamu na jamii kiujumla.

"Amani yoyote katika nchi yoyote inajengwa kwa misingi imara na kwa msiingi thabiti hivyo hata hapa  kwetu kuna misingi thabiti iliyojengwa hivyo lazima tuienzi na tuikumbatie amani yetu,"Mtanda

Tunajua amani yetu ndio tunu yetu na wale wanaofanya kazi iyo lazima watiwe moyo, waungwe mkono wasaidiwe ili waweze kufikia malengo ya kuhakikisha amani yetu inadumu. Amesema Mkuu huyo wa Mkoa.

Aidha Mhe. Mtanda pia amesema endapo katika jamii zetu kutatokea kuitilafiana au kutokuelewana basi hakuna budi kuandikishana mikataba ya amani ambayo itatusaidia kuishi katika misingi ya kupendana na kuheshimiana.


Naye Shekhe Dkt. Sulle amesema muhadhara huo umelenga kutoa elimu kwa waumini wa dini zote kuhusu thamani ya ya amani na nchi waliyonayo lakini pia kufanya dua maalumu ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda pamoja na viongozi mbalimbali wa Kitaifa.


"Ni wajibu wetu sisi kama waamini kumuombea Rais wetu na viongozi wetu na wao ni binadamu wa kawaida, nguvu yao ni dua, tukiwafanyia dua wanakua imara". Shekhe Dkt. Sulle.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.