• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

RC Mwanza akabidhiwa Vituo 5 vya Afya

Posted on: April 21st, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe, Mhandisi Robert Gabriel amewakumbusha Wananchi Mkoani humo kuzingatia afya  zao mara kwa mara wakati Serikali ya awamu ya Sita ikiendelea kuwajengea Vituo vya Afya karibu na maeneo yao.


Akizungumza na Wananchi Wilayani Magu wakati wa kukabidhiwa Vituo vya afya vitano kwenye Kata tofauti,Mhandisi Gabriel amesema nguvu kazi inakwenda pamoja na Wananchi wenye afya hivyo ni wajibu wa kila mmoja kutumia fursa hiyo kujiaminisha na afya yake.


"Haitakuwa na maana Serikali hii kutoa fedha nyingi kuboresha huduma za afya halafu kuwepo na vifo vya Mama wajawazito au Wananchi kutaabika na Maradhi tujifunze kutumia maarifa ya huduma hizi" amesisitiza mkuu huyo wa Mkoa.


Wilaya ya Magu imemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Vituo vitano vya Afya vyenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 950.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Magu Mhe,Salum Kalli amesema kuwepo kwa Vituo hivyo vya afya vimempunguzia mwananchi kutembea mwendo mrefu kusaka huduma hiyo.


"Kuwepo karibu Vituo vya afya kwa kiasi kikubwa kunampa fursa mwananchi kupata matibabu bora na ya haraka na kuendelea na shughuli zake za Maendeleo" amesema Mkuu huyo wa Wilaya ya Magu.


Akitoa taarifa fupi ya huduma za afya Mkoani Mwanza,Mganga Mkuu wa Mkoa huo Dktr,Thomas Rutachunzibwa amesema mpango uliopo sasa ni kuboresha huduma za afya kwa kujenga Hospitali kwenye Wilaya zote za Mkoa huo,kujenga Wodi ya Wagonjwa wa Saratani Hospitali ya Bugando itakayogharimu Bilioni 5, pamoja na uwekaji wa vifaa vya kisasa vya uchunguzi wa Maradhi.


 Mkoa wa Mwanza umepokea Shilingi Bilioni 40 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya ambapo ujenzi wa Vituo vya afya na uwekaji wa vifaa vya kisasa vya kufanyia uchunguzi wa Marathi mbalimbali umefanyika na maeneo mengine unaendelea kufanyika.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZALISHAJI ZAO LA PAMBA WAONGEZEKA- MSIGWA

    May 03, 2025
  • DARAJA LA KIGONGO-BUSISI KUANZA KUTUMIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

    May 02, 2025
  • SERIKALI YAANIKA TAKWIMU ZA MAENDELEO YA UTUMISHI YALIYOPATIKANA MWANZA

    May 01, 2025
  • MAKUNDI MAWILI YA MWISHO YALIYOFANYA ZIARA HIFADHI NA JNHPP YAWASILISHA NENO LA SHUKRANI KWA RAS BALANDYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.